ASHES LOVE EPISODE
KUKUBALIANA NA SHERIA NA TARATIBU ZETU KAMA IFUATAVYO
1.ELIDJA. ni wasambazaji wa movie na sizoni za madj mbalimbali mtandaoni BURE kupitia website elidjaseason.com (huwekwa chache zazamani) ama kulipia VIP kujichotea utakavyo zazamani,mpya na miendelezo ya kila wiki.
2.Link za Movie na sizoni zinatoka hifadhi ya Google Drive hivyo zinadhibitiwa kwa mifumo ya google katika uangaliaji (streaming) na Upakuaji (download) na usambazaji (sharing).Utahitajika kutoa email yako (google account) ili tuweze kukupa access ya file zetu (Masterlink) kwani email yako itatumika kama funguo kufungulia file zetu.
3.Huwezi kuunganishwa VIP bila ya kufanya malipo kulingana na huduma husika.Kila huduma na gharama zake na unaweza kujiunga huduma zaidi ya moja.
4.Unaweza kujiunga VIP kwa kulipia mwezi au miezi kadiri ya uwezo wako hivyo utaweza kujichukulia BURE hadi bili yako itakapoisha.
5.Kwetu utazipata tulizopata toka kwa wadau wetu mbalimbali na tutakazoupload wenyewe (zilizomisi) katika wiki husika.
6.Tunaupload kuanzia jumanne nakuendelea na miendelezo ya wiki ni kuanzia jumatatu nakuendelea.
7.Hatupokei maombi ya movie wala sizoni yoyote bali vyote tulivyonavyo utavipata kupitia huduma uliyojiunga hivyo utakayoikosa jibu HATUNA/HATUJAIPA wala sio kwamba utaipata inbox.
8.Wateja wazamani watakaolipia nje ya muda hakutafanya kusogezwa kwa bili zao bali bili itaisha mwishoni mwa mwezi husika wala sio tarehe aliyolipia.
9.Wateje wapya watakaolipia tarehe 1-5 bila zao zitaisha mwishoni mwa mwezi husika bila kusogezwa mwezi mwingine.Watakaolipia kuanzia tar 6-20 wataongezea 50% kwenye bili husika ikiwa watataka kusogezwa ili kusogezwa mwezi wambele yake mwishoni.Watakaolipia kuanzia tarehe 21-31 watasogezwa bili zao bila kuongeza gharama yoyote hadi mwishoni mwa mwezi wambele.Kiufupi zingatia HATUNA BILI ZINAZOISHA KATIKATI YA MWEZI.
10.Haturuhusu kusambaza link zetu zikiwa wazi (public) utasitishiwa huduma ukibainika bali utatakiwa kusambaza zikiwa zimefungwa (private/restricted).
11.Ghara kwa kila huduma zimetofautiana kulingana na njia ya malipo utakayotumia kati ya LIPANAMBA na MITANDAO.